Skip to main content

Halmashauri Ya Manisapaa Ya Ilala Yakusanya 99% Ya Mapato




Mstahiki meya wa wilaya ya IlalA, Mhe. Jerry Silaa akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Amaoutoglu mnazi mmoja kuhusu mapato ya Halmashauri ya wilaya ya Ilala na na hali halisi ilivyo katika bajeti ya 2012
Mmoja kati ya mfanyabiashara katika wilaya ya Ilala akiuliza swali juu ya vyanzo vingi vya mapato vinaonekana kuwa ni vya kizamani, Je, halmashauri ina mpango gani wa kubuni vyanzo vipya vya mapato
 Mstahiki meya wa wilaya ya IlalA, Mhe. Jerry Silaa akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Amaoutoglu mnazi mmoja kuhusu mapato ya Halmashauri ya wilaya ya Ilala na na hali halisi ilivyo katika bajeti ya 2012-13

Na: Honest Arroyal

Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Ilala, kupitia meya wake, Mhe. Jerry Silaa jumatatu ya Oktoba 1, 2012 amekutana na waandishi wa habari pamoja na wafanyabiashara katika ukumbi wa Amaoutoglu kuzungumzia kwa ufupi juu ya utendaji wa shughuli za manispaa ya ilala kwa mwaka wa fedha 2011/2012

Manispaa ya Ilala kwa mwaka uliopita imefanya jitahada kubwa juu ya ukusanyaji wa mapato huku ikipitia changamoto mbalimbali ambazo baadhi zimepatiwa ufumbuzi. Kwa ujumla, ukusanyaji wa mapato uliokusudiwa umepanda kutoka 88% kwa mwaka wa fedha 2010/2011 mpaka Shilingi 17.1 bilioni zilizokusanywa mwaka huu kiasi ambacho ni sawa na 99% ya mafanikio ya malengo. Ongezeko hilo limetokana na kugundua vyanzo vingi vya mapato kwa 102% ambavyo ni Shilingi 2.25 bilioni kutoka katika mabango ya matangazo yaliyopo barabarani. Kiwango hicho kimeongezeka kutoka shilingi 1.47 bilioni ya mwaka jana mpaka shilini 2.25 bilioni mwka huu. 

“Leo tumewalika walipa kodi wakubwa katika manispaa ya Ilala ambao mchango wao katika uchumi wetu umekuwa mkubwa sana. Sababu kubwa ikiwa ni kuwapa walipa kodi taarifa fupi na kuwashukuru kwa mchango wao katika maendeleo ya manispaa yetu. ”Alisema Mstahiki Meya Mhe. Jerry Silaa. Kitengo kingine kilichoonyesha mafanikio ni kile kinachotoa leseni za ujenzi ambacho kimechangia ongezeko la 205% ambalo ni shilingi 307 milioni kutoka shilingi 154 milioni ya mwaka wa jana. 

Kutoka shilingi 2.14 bilioni za makusanyo ya mapato kutoka kwenye kodi ya thamani, lengo hili lilishuka kwa kiasi kikubwa mpaka 54% kutoka kwa malengo yaliyowekwa ukilinganisha na 74% kwa mwaka jana. Sehemu iliyofanya vibaya kabisa kwa mwaka huu katika ukusanyaji wa mapato ni mapato kutoka leseni za biashara ambayo 0%. Kutokana na kutofikia malengo, kazi za maendeleo zilizopangwa na halmashauri kwa ajili ya maendeleo zimekuwa na changamoto kubwa. Mwaka wa fedha wa 2012/13 umeshapangwa na tunatarajia kuomba msaada si tu kwa Wafanyabiashara na wakazi wa Halmashauri wa manispaa ya Ilala kwa kiasi kikubwa ila pia tunaitegemea serikali kuu katika hili. Asilimia 49 tu ya bajeti ndiyo imepatikana tayari kwa mataumizi ya miradi ya maendeleo ya manispaa.

 “Manispaa ya Ilala ipo katika moyo wa jiji la Dar es salaam, na nchi kwa ujumla kutokana na ofisi nyingi za serikali, ofisi nyingi za makampuni pamoja na ofisi za kibalozi zipo katika Halmashauri yetu, kutokana na hilo, ninaomba Serikali kuangalia juu ya ufanikishaji wa mapendekezo wa bajeti yetu kwa mwaka wa fedha 2012/13 kwa asilimia 100 ili kuweza kufanikisha mahitaji muhimu ya maendeleo ya Halmashauri na kuwezesha ufanyaji wa shughuli mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri yetu” alimalizia meya.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...