Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Bunge wakiwa wameketi kwenye madawati 50 yenye
thamani ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Benki ya NMB kama
sehemu ya msaada kwa shule hiyo.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Bunge iliyopo katika Manispaa ya Ilala, wakifurahia
madawati 50 yaliyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya kukabiliana na
tatizo la uhaba wa madawati shuleni hapo.
Meneja
wa NMB Bank House Bw. Leon Ngowi (kulia) akimkabidhi dawati moja kati
ya madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa na NMB
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Bunge Bi. Hadija Telela. Wakishuhudia
ni Meneja Huduma kwa Wateja wa NMB Bank House, Stephen Chavalla (Pili
kushoto) na Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Bunge Christina Wambura.
Comments