Skip to main content

BANDAMA, INI VINAMTESA MTOTO HUYU




Na Haruni Sanchawa “UKIONA mwezio ananyolewa na wewe tia maji maana yake kuna siku nawe yanaweza kukufika.”
Hiyo ni kauli ya mama aliyejitambulisha kwa jina la Felister Ramadhan kutoka mkoani Manyara ambaye amefika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuuguza mwanaye anayeugua bandama na ini.Felister aliliambia gazeti hili maeneo ya Tegeta Msichoke katika Manispaa ya Kinondoni hivi karibuni kuwa, mwanaye aitwaye Magdalena Daniel (7) hali ya afya yake ilianza kudhoofu alipofikisha miaka miwili tangu kuzaliwa.
Mama huyo kwa masikitiko makubwa alikuwa na haya ya kusema:“Tatizo la mwanangu ni bandama na ini. Vipimo vilionyesha viungo hivyo vina matatizo, nikashauriwa nije katika hospitali kubwa ndiyo maana nipo hapa.
“Mimi sina uwezo wa kugharamia matibabu na mume wangu naye ni mgonjwa, niliamua kuja Dar lakini ile nauli ya kwenda Hospitali ya Muhimbili nayo inanishinda.”
Naye Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta Msichoke, Clemence Ngusa alimwambia mwandishi wetu kuwa ni kweli mama huyo anashindwa kupata nauli ya kumpeleka mwanaye Muhimbili kutokana na uduni wa maisha.
“Upande wa serikali ya mtaa, hatuna fungu, nawaomba wasamaria wamsaidie ili mtoto aweze kutibiwa,” alisema Ngusa.
Kwa yeyote aliyeguswa na habari ya mtoto huyu awasilinane na mama yake kwa simu namba 0688 17 02 12.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...