Kwa Mujibu wa taratibu zinavyokwenda Atlantic City tayari imeshavamiwa
na kimbunga na hapa mitaa yetu ambapo tupo kando kando kitaapita mida ya
saa tisa mchana yani 3:PM na kinatarajiwa kuungana na vimbunga vingine
viwili kutoka kaskazini na kusababisha hali mbaya ya hewa itakayotanda
kwa upana wa kilomita 1,200 na kuathiri wakazi milioni 60.
Mitaa ya Norfolk, Virginia nako tayari kumeshazongwa na wimbi la Hurricane Sandy
Atlantic City nako kumeshafamiwa na kimbunga kinachoendelea hivi sasa!
Wakaazi wa mji wa Milford, Connecticut wakionekana kusukuma gari
lililonasa katika Maji yaliosababishwa na Kimbunga kinachoendelea baadhi
maeneo ya mashariki mwa Marekani.
Mti uliopata dharupa ya kimbunga katika mitaa ya Hoboken,jijini New Jersey
Mti uliopata dharupa ya kimbunga katika mitaa ya Hoboken,jijini New Jersey
Hali inazidi kutia simazi dhidi ya dharuba ya kimbunga kikali
kinachoendelea Maeneo mwa Mashariki mwa Marekani hii hapa picha ya
nyumba ilioelemewa na Mti mkubwa katika maeneo Delaware County, Jijini
Pennsylvani Bado kimbunga kina katiza Jimbo hadi Jimbo
Kama manavyoona pichani Trampoline limechukuliwa juu kwa juu kwa dharuba
kali na kunasa kwenye nyaya za umeme huko, Long Island wakati Kimbunga
Sandy kinazidi kuendele kingia Jimbo hadi Jimbo
New York: Manhattan Midtown crane lipo hatarini kuanguka kutoka juu
kwenye skyscraper Mitaa ya 157 W. 57th Jijini Manhattan. Limebaki
kuangaliwa na kusubiri hatma yake itafukaji
Kimbunga Sandy kinazidi kutia hasara katika maeneo mbali mbali likiwemo eneo la, 14th Street and Eighth Avenue ukuta wa mbele wa apartment hiyo kuaanguka usiku wa jana.
Comments