Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (wa pili kulia) akizungumza
na wajumbe wa kamati ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani wakati walipotembelea Ofisi
za Makao Makuu ya Tume hiyo (leo jumatatu tarehe 8. Oktoba, 2012). Wa pili kushoto ni Mkuu
wa msafara huo, Kauder na kulia ni Katibu wa Tume hiyo, Assaa Rashid

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba (wa tatu kulia) akiagana na wajumbe wa kamati
ya Sheria ya Bunge la Jamhuri ya Ujerumani mara baada ya kutembelea ofisi za Makao Makuu
ya Tume hiyo (leo jumatatu tarehe 8. Oktoba,2012) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa
Tume, Assaa Rashid.
(PICHA NA TUME YA KATIBA)

Comments