Warembo
wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakishiriki kucheza mpira wa Miguu na
Watoto Yatima kwenye uwanja wa Arusha School katika michezo ya hisani
kuchangishdha kwaajili ya kusaidia watoto yatima na waishio katika
mazingira magumu.Mbali na michezo pia walishiriki kuosha magari.
Warembo wakivutana kamba na wakazi wa Arusha.
Warembo
wakishiriki kuosha magari ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha wakazi wa
jiji la Arusha kuwachangia fedha kwa ajili ya mahitaji mbali mbali
watoto yatima wa Jijini humo.Inatoka kwa mdau.
Comments