Mwenyekiti mpya wa UWT Sophia Simba akipongezwa na mke wa Rais wa
Zanzibar mama Mwanamwema Shein baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi
wa UWT jana usiku
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein, akitowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT
uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma na kumchangua
Mwenyekiti Mpya Sophia Simba
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia bbaada ya kutangazwa jina
lac Mwenyekiti mpya wa Umpja huo Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha
Bakari katika ukumbi wa Chuo cha Mi[pango Dododo jana usiku
MWENYEKITI wa UWT na Makamu wake Mwenyekiti Mhe.Asha Bakari Khamis,
wakiwa na furaha baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu wa umoja
huo uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha mpiango dodoma
Kwa taswira zaidi tembelea ZanziNews
Comments