Bia moto nyama choma na bia baridi .
Kaunta pamesheheni bia za kutosha.
Wakazi wa Kinyerezi Mwisho hapa si pakukosa kila mechi za kusisimua
ulimwenguni ligi zinazoendelea umeme ni wakumwaga , hakuna dosari kuhusu umeme.
Si haba kusogea kila mechi za Ligi za Ulaya na kwingineko
Projector inamuonekano bora kabisa pasipokusumbua kufinya finya mimachooo. Usikose
njoo pia tuongee soka na wadau ndiokijiwe pekee kabisa cha kujivunia Kinyerezi Mwishoo, ata mwendesha
boda boda mwambie akulete kwani The Blue Point si pakupotea ama uliza kwenye paa la Bluu utafikishwa.
Comments