Skip to main content

Katibu Wa BAKWATA Aliyepigwa Kwa Kitu Kinachodhaniwa Ni Bomu




Kupigwa kwa bomu nyumbani kwa Katibu wa Bakwata Mkoa wa Arusha Abdul Kareem Jonjo. Baadhi ya vongozi wa ulinzi na usalama Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mkuu wa Mkoa wa Arusha wakiwa kwenye matukio mbali mbali nyumbani na hospitalini jijini hapa leo baada ya tukio la kupigwa kwa bomu kwa katibu huyo nyumbani kwake eneo la Mtaa wa Kanisani Kata ya Sokon 1 jijini hapa.
(Picha na zote na Mahmoud Ahmad)

Comments