Taswira ya maisha ya mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi ,Winnie Mandela, aliyefariki akiwa na miaka 81.
- Winnie Madikizela Mandela aliitwa " Mama wa Taifa" kwa kazi ya yake dhidi ya ubaguzi
- Alikuwa ishara ya mapigano dhidi ya ubaguzi wa rangi pamoja na aliyakuwa mume wake laiti Nelson Mandela, kwa karibu miongo mitatu
- Alitiwa rumande mara kadhaa katika utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini
- Alikutana na viongozi wa kimataifa - kama vile Senata wa Marekani Edward Kennedy - kujaribu kumtoa Bwana Mandela kutoa gerezani
- Alishutumiwa kuhusika na mauaji wa kijana wa umri wa miaka 14, aliyekuwa mpiganaji, Stompie Seipei (kwenye picha) - alizikana shtuma hizo
- Winnie and Nelson Mandela walitalakiana mwaka 1996, miaka 6 baada ya Bw Mandela kuachiliwa
- Winnie Mandela alikuwa mwana siasa mkongowa katika baada ya chama cha ANC party kuchukuwa madarakalakini muda wake haikuwa bila alama za kashfa
- Alibaki kuwa mtu maarufu katika jamii - hapa akionekana akimtia moyo mwanaraidha Caster Semenya - hata baada ya Mandela kuacha madaraka
Comments