NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson
leo amewahasa wanafunzi wa elimu ya juu pamoja na wanafunzi wa shule za
sekondari kujituma katika masomo yao kwa kuzingatia malengo
sahihi masomoni.
Dkt. Tulia Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hayo ameyasema ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na
Hayo ameyasema ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na
Dkt. Tulia wakati uzinduz rasmi wa programu maalumu inayohusu maisha ya wanafunzi
vyuoni (University Life Campus) maarufu kama UNILIFE CAMPUS.
Alisema kawaida ya mtu mwenye uwezo dhidi ya mwengine ni yule anaye jituma
hivyo mwanafunzi anatakiwa awena bidii katika masomo na katika hatua
zingine za mazingira anayoishi.
"Mkizingatia nidhamu ni dhahili mtakuwa umefikiria zaidi muda kwani ukiweza
kupangilia na kwendana na muda mambo mengi yatakuwa yameendana na wakati,
na pia wasifanye shughuli nyingine ambayo aihusiani na muda huo waliojipangia,"
alisema Dkt. Tulia.
Dkt. Tulia alisema nidhamu na kutunza muda mutu uweza kuukomboa kama ukiwa
na nidhamu wanafunzi wasichezee wakati wajitume kwani kuwa na bidii shuleni,
bidii hiyo uendelea ata watakapokuwa ofisini na kusisi tiza kuwa kila
jambo walifanyalo katika maisha yao wanatakiwa kulifanya kwa bidii nakuwa
kuhusiana na masuala ya wanafunzi kupata ajira anasema kuwa wasikae
kwa kusubilia ajira bali wanaomaliza chuo wanatakiwa kuanza kujibidiisha
katika kazi mbali mbali na kutolea mfano kuwa ata yeye alipo maliza
shule ya msingi wakati akisubilia matokeo alianza kuuza mchicha na
alipokua akisubilia matokea yake ya sekondari alijihusisha na
biashara ya kuuza mandazi.
Mhe Esther Michael Mmasi, Mbunge anaewakilisha vyuo vikuu nchini katika Bunge
la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania muanzilishi rasmi wa programu hiyo yake,
maalumu inayohusu maisha ya wanafunzi vyuoni.
Kwa upande wake anasema elimu ya kujitambua na kujiamini ikiwemo
kutumia elimu yao itawezesha kutambua fursa mbali mbali zinazowanguka.
Huku Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Utafiti Prof.Cuthbert Z.MKimambo
akisifia ujio wa University Life Campus katika siku ya leo chuoni hapo
Comments