Skip to main content

Tazama sasa baada ya Simba Kuifunga Tanzania Prisons Jana



Na Haji Manara

1.Ni Dhairi kwamba Groves za Juma Kaseja bado zinaishi kwenye mikono ya Aish Manula kuna safari kubwa sana kwa Nduda ili kukaa kwenye milingoti mitatu usisahau pia Nduda ni mtu hatari sana na yeye


2.Pierre Lechantre na Masoud Djuma sina shaka kabisa na vyeti vyao vya ukocha nafikiri walihitimu kwa kiwango cha juu sana na kuna siku Asante Kwasi atacheza kama Striker wa kati na timu ikapata matokeo pia Heshima kwao hawa walimu yale yalimshinda Joseph Omong zamani licha ya kuwa timamu..

3.Kucheza kwa Mohamed Hussein pamoja na Asante Kwasi kunaufanya upande wa Kushoto kuwa na kasi sana na kunaufanya upande wa kulia pia kuwa na kasi sana ukichanganya na  uwepo wa Shiza Kichuya kama kocha mwingine angeweza kuamini sub ya Asante Kwasi always ni Tshabalala lakini chini Masoud Djuma na Pierre Lechanter si hivyo tena

4.Yusuph Mlipili ni mtu muhimu zaidi pale nyuma kuliko kawaida ukichanganya na uwepo wa Erasto Nyoni na Juuko Murshid unapata ulinzi wa hali ya juu na unapata ukuta mgumu zaidi VPL ndio ni Yusuph Mlipili ambae alikuja kama sub pale Simba lakini mwisho wa siku amekuwa kiongozi pale nyuma alivyogundua muhimu ni kujituma na kujiamini basi akawa Yusuph Mlipili mwingine tofauti na Yusuph Mlipili wa Toto Africa wa kipindi kile..

5.Rahisi sana kugombania namba na Nicholas Gyan au Haruna Niyonzima lakini ni ngumu sana kujaribu kumtoa Jonas Mkude katika eneo lake kiufupi huyu ndie Master Plan wa kiungo ya kati kaka yangu Joseph Omong hakuwai kuelewa somo juu ya Jonas Mkude mtu ambaye yupo bize na kiungo ya chini hata muda wa kuchana nywele hana...ndio ni Jonas Mkude anaefanya kila kitu kuwa sawa na mipango kukamilika anavaa jezi namba 20 muda wote jezi imeloa jasho..

6.Ni muhimu sana kuwa na mchezaji kama Erasto Nyoni kwanza yeye ni muhamasishaji mkuu mpira hajaanza leo pia anaifanya kazi kwa ufasaha zaidi ile ndio tafsiri ya neno Legend kama hakuna Mwinyi Kazimoto basi Erasto Nyoni ni mchezaji muhimu ndani ya Simba Sc hasa nyakati kama hizi kuelekea ubingwa wa VPL ndio maana amekuwa sehemu ya kikosi cha Simba sana msimu huu..

7.Baada ya kuacha masihara sasa Juuko Murshid ni mpya kabisa ni kiongozi mwingine mzuri  nilimuitaji Juuko Murshid kama huyu ukiachilia mbali ule usumbufu wake wa kipindi kile lakini unaanzaje kuleta masihara kwenye timu yenye mabeki zaidi ya wa 5 tena wa kati nashukuru Juuko Murshid dua zangu ulizisikia..

8.Pass za kuogopwa zaidi ndani ya Simba ni za Shiza Kichuya iwe kutokea katikati ya uwanja au pembeni Shiza Kichuya anaweza kuwa mchezaji hatari zaidi ndani ya Simba achana kwanza na Magoli ya Emanuely Okwi na  John Bocco ukitaka kuiona mechi ya Simba inaendaje basi mtazame Shiza Kichuya ni bahati tu kwa Aron Kalambo lakini kulikuwa na goli mbili za Shiza Kichuya unafikiri TP Mazembe ni wajinga kumtaka huyu mchawi mfupi? ndio Shiza Kichuya

9.Hakuna raha kama kuwa na John Bocco na Emanuely Okwi kwapamoja hawa ni wauwaji wakuu muda wote wanakudhuru tu unaweza kuzui ndani ya dakika 90 lakini dakika moja tu unaweza kufungwa heshima kwao..

10.Shomali Kapombe ndio mchezaji mwenye kasi kuliko mchezaji yeyote ndani ya Simba Sc 

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...