Skip to main content

Mei 9 Mugabe Kujieleza Mbele Ya Bunge Kuhusu Kutoweka Kwa Almasi Zenye Thamani Ya Dola 15 Bilioni.

Akiyekuwa rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele ya bunge la nchi hiyo mnamo Mei 9 kujieleza kuhusu “kutoweka kwa almasi zenye thamani ya dola bilioni 15,” mbunge mmoja amesema.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na maswala ya Madini na Nishati Temba Mliswa, amenukuliwa na gazeti la Herald akisema wamepanga Mei 9 kama tarehe ambapo Mugabe atatakiwa kutoa ushahidi.
“Kamati hiyo ilikutana leo [Alhamisi] na iliamua kumwalika rais wa zamani Robert Mugabe kwa kamati yetu ili kujieleza kuhusu kupoteza kwa almasi zenye thamani ya bilioni 15,” ameongeza.
Mugabe, ambaye alitawala Zimbabwe tangu nchi hiyo kupata uhuru wake mwaka 1980, alilazimika kujiuzulu mnamo mwezi Novemba mwaka 2017chini ya shinikizo kutoka kwa jeshi, maandamano na chama chake, Zanu-PF.
Robert Mugabe ameiacha Zimbabwe katika hali ngumu kwa wananchi wake bila kusahau mgogoro wa kiuchumi unaoendelea.
Wabunge wanataka kumwuliza kuhusu maneno aliyotamka mwaka 2016, ambapo alielezea masikitiko yake kuwa nchi yake imepoteza dola bilioni 15 katika mapato ya almasi kwa sababu ya rushwa na kupotea kwa mitaji kutoka makampuni ya madini ya kigeni.
Kamati ya Bunge inayohusika na faili hii tayari imewataka mawaziri kadhaa wa zamani, wakuu wa polisi na maafisa wa ngazi ya juu serikalini kuja kutoa ushahidi.
Katika ripoti iliyotolewa mwaka jana, shirika lisilo lakiserikali la Global Witness limeshutumu viongozi wa Zimbabwe kupitisha mlango wa nyuma kwa miaka mingi faida ya madini ya almasi ili kufadhili ukandamizaji na wapinzani wao wa kisiasa
.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.