April 22,2018 wakati wasanii na wadau mbalimbali wakiwa wamejitokeza wenye viwanja vya leader Club jijini Dar es salaam kuuaga mwili wa Video queen Masogange,imeelezwa kuwa Msanii wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Jebby ambaye amewahi kufanya vyema na wimbo kama Swahiba amefariki dunia leo mjini Dodoma alipokuwa akipatiwa matiba
Watu wa karibu na msanii Jebby wamesema kuwa msanii huyo alikuwa anaumwa na mpaka umauti umemkuta Dodoma alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya bandama na ndiyo yaliyosababisha kifo chake.
bofya chini usikilize moja kati ya Nyimbo ambayoenzi za uhai wake ilimtambulisha vyema kwenye tasnia ya muziki wa bongo flavour
Comments