Chama cha Wachezaji wa kulipwa nchini Uingereza (PFA), kimetaja orodha ya kikosi bora cha wachezaji wa ligi hiyo kwa msimu wa 2017/2018.
Katika kikosi hicho klabu ya soka ya Manchester United imefanikiwa kutoa wachezaji watano. Wakati huo huo Tottenham Hotspur imetoa wachezaji watatu kwenye kikosi hicho.
Kikosi cha wachezaji waliochaguliwa na PFA kwa msimu wa 2017/2018
Wachezaji waliotajwa kwenye kikosi hicho ni David De Gea, Kyle Walker, Jan Vertonghen, Nicolás Otamendi, Marcos Alonso, David Silva, Kevin De Bruyne na Christian Eriksen.
Wengine waliotajwa kwenye orodha hiyo ni Harry Kane, Mohamed Salah na Sergio Agüero
.
.
Comments