IMEELEZWA chakula bora kwa Nguruwe ni moja ya suala muhimu
kwenye dhana nzima ya ufugaji wa nguruwe wenye tija na faida
kwa mfugaji kwa sababu kinagharimu kama asilimia 70 ya gharama
zote za ufugaji.
Hayo yalisemwa Dar es Salaam juzi na Shanel John ambaye ni
msemaji wa kampuni ya Marenga Animal Feeds wakati wa semina
yenyekulenga kutoa fursa kwa wadau.
Marenga organized a seminar on getting better profit on your layers and your broilers! Everything you need to profit your birds is included in the feed vision!
Alisema Lishe duni ni kati ya matatizo mengi yanayosababishwa
ukosefu wa tija na ufanisi duni wa uazilishaji wa nguruwe
lakini nguruwe wakipatiwa lishe bora,tija na ufanisi wa uzali
shaji utakuwa mkubwa hivyo kuongeza faida kwa mfugaji.
"kwa mkulima akiwa na mbegu bora ya nguruwe
watoto wanakuwa tayari kuachishwa kunyonya baada
ya mwezi mmoja na hivyo kumwezesha nguruwe kupata
tena joto siku ya tano baada ya kuachishwa watoto
kunyonya,"alisema John
John alisema ilikufikia hilomkulima aongeze gram 150
ya sukari kwenye chakula cha nguruwe kwa siku 5
mfululizo baada ya kuachishwa kunyonya na pia kuhakikisha
ukuaji wa haraka wa nguruwe na hivyo kupata uzito wa zaidi
ya kilo 100 kwa kipindi cha wastani wa miezi 6.
Aliongeza kuwa chakula kinalishe bora na kamili hivyo
kuongeza faida kwa mfugaji kwa sababu nguruwe atakula
kiasi kidogo tu cha chakula na atachukua muda mfupi
kupata uzito mkubwa na kwa sababu ya ubora wa lishe
hakuna maambukizi ya magonjwa.
Katika semina hiyo vile vile ilielezwa kuwa(Creep feed)
nichakula kwa ajili ya watoto wachanga wa nguruwe kuanzia
siku ya 14 tangu kuzaliwa wakiwa bado wananyonya hadi siku
35 baada ya kuachishwa kunyonya.
kampuni ya Marenga Animal Feeds ambayo inazalisha
chakula bora cha nguruwe kiasi na namna ya kulisha,
imeeleza kuwa chakula hicho kinawasaidia watoto kuzoea
chakula kigumu,m kutosheleza mahitaji yao,kuwaandaa
kuachishwa kunyonya wakiwa na umri wa siku 28 au mwezi
mmoja na hivyo kuwawe zesha watoto kukua kwa haraka.
Naye afisa masoko wa kampuni hiyo Maximillan Assenga
alisisitiza kuwa wao pia ni Waniwazalishaji wa chakula
bora cha kuku na kuwa wadau wa ufugaji wanunue chakula
toka kampuni hiyo na watapata faida kubwa kwa kulisha
chakula kutoka MarengaAnimalFeeds.
Comments