JUMLA ya taasisi 35 za Tanzania zimeazimia kusafirisha Mahujaji 3000,kati ya
taasisi hizo 20 zimesajiliwa Zanzibar na zinaratibiwa na Kamisheni ya Wakfu na
Mali ya Amana na Taasisi 15 zimesajiliwa Tanzania Bara na zinaratibiwa na BAKWATA.
Hayo yamezungumzwa Dar es Salaam jana na Rais wa Biitha Hijja ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzaia Sheikh Abdulla Talib Abdulla ambapo alisema kuwa kiutaratibu
usajili haujifungi kijografia bali unakuwa ni kwa(Operation), hivyo taasisi
takribani zote huwa na Mawakala wake na hukusanya Muhujaji kutoka pande
zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Alisema Ibada ya Hijja kwa mwaka huu inatarajiwa kuanza Agast 18 na hata hivyo
kuna ratiba maalumu inayotolewa na Wizara ya Hijja na Umra ambapo malipo na
taarifa mbali mbali hutakiwakulipwa au kutolewa katika tarehe maalumu.
"Taasisi inayokamilisha malipo na shartihizo ndio inayoruhusiwa kusafirisha mahujaji,
ambapo tayari kuna taasisi 26 zimekamilisha gharama ya benki Guatantee ya Saudi Arabia
na viongozi wake wameshaombewa visa kwa ajili ya kwenda kukamilisha taratibu za mikataba
ya makazi na usafirishaji ambayo mwisho wake ni Mei 15 mwaka huu,"alisema Sheikh Abdulla.
Sheikh Abdulla alisema taasisi 15 ambazo zimekamilisha malipo na mashart yote yanayotakiwa
zimeisha fanyiwa Activation katika mtandao wa Wizara ya Hijja.
Aidha alisema anawashukuru wasaidizi wake kutoka Kamisheni ya Wakfu,BAKWATA na
Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar.
Sheikh Abdulla aliongeza kuwa malengo makubwa ya kuelrzea mkutano huo pia yalilenga
maendeleo ya matayarisho ya safari ya ibada ya Hijja kwa mwaka 2018 sawa na 1439
hijiria.
Ambapo mwaka 1997 shughuli za Hijja katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
zinaratibiwa na Biitha ya Hijja ya Tanzania (Tanzania Haji Mission) kwa mata
kwa ya Serikali ya Saudi Arabia ya kuitaka kila Nchi yenye kusafirisha Mahujaji
lazima kuunda chombo hicho ambacho ndicho kinachowakilisha Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na kinaongozwa na Ktibu Mtendaji wa kamisheni ya Wakfu na mali
ya Amana Zanzibar.

Comments