Aliyekuwa msanii nyota wa kundi maarufu la miaka ya 90 kuja juu Kriss Kross hivi karibuni na wasanii kama Da Brat,baadhi ya member wa kundi la Escape na
'mentor' wake Produza Jermaine Dupri alikuwepo.
Da Brat aliyevaa kaptula
Tiny ambaye pia ni mke wa TI akiwa na msanii mwenzake wa Escape
Aliyekuwa msanii mwenzake katika kundi la Kriss Kross akionyesha hisia ya huzuni.
Produza Jermaine Dupri alienda msibani akiwa amegeuza nguo ili kuonyesha
kumbukumbu ya jinsi msanii huyo na mwenzake walivyokuwa wakivaa nguo
kwa staili hiyo ya kugeuza.
Comments