MSANII nyota wa nchini Kenya Size 8 baada ya hivi karibuni kutangaza kuwa ameokoka na kwamba sasa atajihusisha zaidi na uimbaji wa nyimbo za injili, ameendelea kujadili kuhusu maisha mapya ya wokovu aliyoyaanza.
Mitandao ya kijamii imedodosa kuwa baada ya kutangaza kuwa ameokoka hatavaa tena nguo fupi kama alivyokuwa amezoea, na kauli yake nyingine aliyonena ni kwamba .
Staa huyo amefunguka zaidi na kusema anajuta sana kuipoteza bikira yake na kwamba hatafanya tena mapenzi mpaka pale atakapompata wake wa maisha.
Comments