Skip to main content

MTOTO MWENYE VIUNGO VYA AJABU AZALIWA MPANDA MKOANI KATAVI


MASAI
Na: Kibada Kibada-Mpanda Katavi
Katika hali isiyo ya kawaida  mwanamke aitwaye Johari Raphael ( 35)  mkazi wa  mtaa wa Makanyagio  Halmashauri ya Mji wa Mpanda  Mkoa wa Katavi  amejifungua  mtoto wa kiume  mwenye viungo  vya ajabu    utofauti na banadamu wa kawaida. Mganga Mkuu wa Hospital ya Wilaya  ya
Mpanda Naibu  Mkongwa   aliwaambia waandishi wa Habari Ofisini kwake jana kuwa  mwanamke huyo  alijifungua  mtoto  wa ajabu ambae  alikuwa na kichwa kikubwa  kama cha mtu mwenye umri mkubwa  huku  mikono na miguu yake  ikiwa mifupi mfano wa  pingili  za miwa.
Dkt Mkongwa alieleza kuwa  mwanamke huyo alijifungua mtoto  mwenye  uzito wa  kilo  nne na  nusu(4.5)  hata hivyo  alifariki dunia  muda mfupi  baada ya mama yake kujifungua kwa njia ya upasuaji  baada ya kushindwa  kujifungua kwa njia ya kawaida  katika hospitali hiyo.
Madaktari waliamua kumfanyia  upasuaji  baada ya kupata maelezo kutoka kwa mama huyo alipoeleza kuwa  huo ulikuwa ni  uzao wake wa  tano   na  kati ya  zao hizo amekuwamara hizo   akijifungua kwa  shida  hali iliyo pelekea  kujifungua watoto  wawili wakiwa wameisha kufa.
Dkt Mkongwa akifafanua  zaidi alieleza kuwa baada ya kupata historia  ya mama huyo  waliamua kumfanyi a uchunguzi na walipobaini kuwa  mama huyo hawezi kijifungua kwa njia ya kawaida kutokana  na ukubwa wa kichwa  alicho kuwa nacho  mtoto  ambacho mwanamke  yoyo hawezi kujifunga kwa  njia ya kawaida
  1. kutokana na hari hiyo  madakitari wa waliamua kumfanyia upasuaji  na ndipo mtoto huyo wa kiume alipotolewa  na alifariki muda mfupi  baada ya kuzaliwa
Kwa upande wake muuguzi mkuu wa hospital hiyo ya wilaya ya Mpanda Elexzanda Kasagula  alisema kuwa mwanamke huyo alifikishwa katika  hospital hiyo hapo juzi na kulazwa katika wodi ya wazazi baada ya kuonekana muda wake  wa   kujifungua umefika
  1. hari ya Johari   ambae amelazwa katika wodi ya wazazi inaendelea  vizuri  na wanasubiriwa ndugu  zake   ili  wakabidhiwe  mwili  wamarehemu kichanga hicho kwa ajiri ya  mazishi
  2. alisema  hili  ni tukio la pili ndani ya kipindi cha miezi mitatu  kwa kuzaliwa watoto wa ajabu  kwani miezi mitatu iliyo pita  alizaliwa mtoto  huku utumbo ukiwa nje  juu t umbo.Source www.mjengwablog.com

 

 

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...