Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Tawi la Zanzibar, akiongozana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Dk. Salim
Ahmed Salim. kwa ajili ya uzinduzi wa Chuo hicho kilioko nje kidogo ya
Mji wa Zanzibar Bububu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiweka jiwe la Msingi la Jengo la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere Bububu Zanzibar, kulia Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Dk.
Salim Ahmed Salim na kushoto Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim
Seif Sharif hamad.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akihutubia katika sherere za uzindizi wa Chuo cha Kumbkumbu ya Mwalimu
Nyerere Bububu Zanzibar.
Mkuu
wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dk. John Magotti, akitowa
historia ya Chuo hicho kwa Rais wa Zanzibar katika sherere za ufunguzi
wa Jengo la Chuo hicho huko Bububu Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar ma Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akimsikiliza Mkuu wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dk. John.Mogotti akihutubia na
kutowamaelezo ya ujenzi wa jengo hilo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dk. Salim Ahmed Salim
akizungumza katika uzinduzi huowa Jengo la Chuo hicho uliofanywa na
Rais wa Zanzibar Dk. Shein.
MWENYEKITI
wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya MwalimNyerere Dk. Salim Ahmed Salim,
akimkabidhi zawadi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, katikati Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif Hamad,
Kwa taswira zaidi endelea kutembelea ZanziNews
Comments