Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na Rais mstaafu wa Nigeria na
Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa
Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa katika picha ya pamoja na wadau wa
maendeleo baada ya kuzindua rasmi jengo la sayansi katika kituo cha
Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar
es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa
heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Benjamin William Mkapa wakizindua rasmi jengo la sayansi katika
kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni
jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo Jipya
la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo
Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chifu Olesegun
Obasanjo akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo
cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini
Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa
heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Benjamin William Mkapa wakionja mikate iliyotengenezwa kwa unga wa
muhogo wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi
ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es
salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa
heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Benjamin William Mkapa katika picha ya pamoja na wadau wa maendeleo
bnaada ya kuzindua rasmi jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya
Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam
leo Mei 13, 2013
Kwa taswira zaidi tembelea ZanziNews
Comments