Shindano
la Big Brother Africa 2013 limezinduliwa rasmi leo ambapo Show yake
iliruka rasmi na kuwapa fursa mashabiki mbalimbali kujua nchi zao
zinawakilishwa na washiriki gani.
Kutoka Tanzania, tunawakilishwa na Nando pamoja na Feza Kessy. Nando ni mwanafunzi (Mtanzania) ambaye inasemekana anaishi USA, Los Angeles na alikopa nauli ili aje Tanzania kwa ajili tuu ya kushiriki kwenye Auditions za BBA, na amefanikiwa.

Comments