Na Andrew Chale
MWANAMUZIKI nguli wa bongo na kiongozi wa yenye mvuto nchini bendi ya 'Machozi', Judith Wambura ( Lady JayDee) au Jide ama #Teamaanaconda#, anatarajia kuripoti Mahakama ya Kinondoni siku ya Jumatatu Mei 13, kufuatia kufikishiwa kwa taarifa hizo Gadna G Habash 'Captain' ambaye ni Meneja na mume wa Lady Jay Dee.

Comments