Skip to main content

Familia mpya ya Rooney


Mshambuliaji Wayne Rooney wa klabu ya Manchester United akiwa amempakata mtoto wake aliyezaliwa wiki hii. Kulia ni mkewe, Coleen na mtoto wao wa kwanza, Kay.

Comments