CHAMA
Cha Mapinduzi (CCM), kimewaonya na kuwapiga marufuku, makada na
wanachama wake wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi
mkuu ujao, kutothubutu kuanza kujipitipitisha kwa wapiga kura na kusema
atakayefanya hivyo asimlaumu mtu kwa kitakachoamuliwa dhidi yake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments