tasnia.co.tz wrote:
Ukimtoa Hasheem Thabeet, Wema Sepetu ndio msanii mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram maarufu kwa picha.
Mpaka sasa Wema ana followers zaidi ya 10,000. Wasanii wengine wenye followers wengi ni pamoja na Diamond, 6,455, Diana Elizabeth Michael aka Lulu, 6,206, Jokate Mwegelo 6,747, Vanessa Mdee 6,600.
More...

Comments