Mtangazaji
wa Radio ya watu, Clouds fm, Diva Loveness Love amejikuta akiingia kwenye
vita kubwa na Model (Thee Boss Lady) Huddah Monroe kisa tuu ni mshiriki
wa Big Brother, Prezzo. Mtiti ulianza pale Diva alipoanza ghafla kutweet
hisia zake juu ya Prezzo.
Akidai she's so inlove, kitu ambacho kiliwaacha wengi mdomo wazi kutokana na kuwa open kupitiliza (unaweza ukadhani alikua anatania au anaforce mambo). Tweets za mwanadadiva huyo zilizidi kuwashangaza watu baada ya kusisitiza mara kwa mara kwamba anamuacha boyfriend wake kisa Prezzo.
Comments