Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao
wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya
mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania anayefanyia
kazi zake Zanzibar Bibi Chen Qiman, mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa
Jamhuri hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania Nchini China,katika
VIP katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya
mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika mapunziko mfupi
katika Chumba cha Viongozi wakuu VIP,walipokaribishwa na Balozi Mdogo
wa China nchini Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen
Qiman,(kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing
nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakikaribishwa na Balozi wa
Tanzania Nchi China Philip Sang’ka Marmo pamoja na Mkewe,katika hoteli
ya China World Hotel,katika mji wa Beijing nchini China akiwa katika
ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa
China.
Picha zote na Ramadhan Othman, Beijing, China Via ZanziNews
Comments