Skip to main content

VURUGU IRINGA MJINI




2 f9988
3 fd59e

5 d26e3
POLISI YATUMIA NGUVU KUTAWANYA WANANCHI MTAA WA MASHINE TATU, WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO MAARUFU KWA JINA LA MACHINGA WAKIWA NA MBUNGE WAO,
Wananchi wafunga Barabara na kuchoma mataili Barabalani Polisi nao wazidi kupiga mabomu huku wananchi wa kisema Pigeni yaishe tumechoshwa kunyanyaswa kwa sheria ya kuwadhibiti wadogo huku wakubwa wakikosea Sheria haipo.PICHA NA SAID NG'AMILO.Chanzo ni (mjengwablog).

Comments