Na Nurdin Selemani Ramadhani
Kikosi cha Kikanda cha Kulinda Amani katika Eneo la Afrika ya Kati FOMAC
kimetoa onyo kali kwa Waasi wa Seleka wenye mpango wa kuuteka Mji wa
Bangui kutothubutu kufanya hivyo kwani watasambaratishwa vilivyo na
Kikosi hicho imara.
Waasi wa Seleka wanaopigana kuchukua Mji
wa Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameongwa kutothubutu kufanya
hivyo na Kikosi cha FOMAC
Kamanda wa Kikosi cha FOMAC Jenerali Jean-Felix Akaga ndiye ametoa onyo
hilo kwa Waasi wa Seleka na kuwataka kutokuwa na mawazo ya kuuchukua Mji
wa Damara ambao unashikiliwa na Majeshi hayo wakisaidia Jeshi la
serikali.
Jenerali Akaga amewaambia Waasi wa Seleka Kikosi chao chenye Wanajeshi
kutoka mataifa kumi yanayounda Umoja wa Kikanda wa Eneo la Afrika ya
Kati kimejipanga vyema kukabiliana na kitisho chcohote kutoka kwa Waasi
wa Seleka.
Kamanda huyo amesema wameweka ulinzi imara katika Jiji la Bangui huku
ulinzi wao ukiwa ni umbali wa kilometa 75 kabla ya kufika Mji huo na
wataendelea kulisaidia jeshi la Rais Francois Bozize kwenye mapambano.
Onyo hilo linakuja kipindi ambacho matarajio ya Waasi wa Seleka kuuweka
kwenye himaya yao Mji wa Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
yakitoweka kufuatia nchi jirani kupeleka wanajeshi wake kuisaidia
serikali ya Rais Francois Bozize aliyekataliwa msaada wa kijeshi kutoka
kwa Ufaransa na Marekani.
Serikali ya Rais Bozize imeanza kupata ahueni baada ya Gabon, Congo
Brazzaville na Cameroon kutuma wanajeshi mia moja ishirini kusaidiana na
wengine mia nne wa Chad ili kukabiliana vilivyo na Waasi wa Seleka
ambao wameendelea kuwa kitisho kwa usalama baada ya kuchukua Miji
mingine kadhaa.
Wanajeshi hao wamekwenda Bangui chini ya Mwamvuli wa Kikosi cha Afrika
cha Kulinda Amani FOMAC na watakuwa na jukumu la kuhakikisha wanaulinda
Mji wa Damara ambao ni muhimu kwa sasa kabla ya Waasi wa Seleka kufika
Bangui.
The smiles that show she's going to be OK: Hillary Clinton discharged from hospital with beaming Bill and Chelsea after blood clot brain scare
By DAILY MAIL REPORTER and LESLIE LARSON
Secretary of State Hillary Clinton has been discharged from New
York-Presbyterian Hospital on Wednesday holding tightly to the hand of
her smiling daughter Chelsea and flanked by her beaming husband Bill,
three days after she was admitted for a blood clot in her head.
Wearing dark sunglasses and a warm coat to brave the New York winter
chill, she walked down the steps of the hospital into a waiting van -
creating a media frenzy since the 65-year-old has not been seen publicly
since December 7.
Secretary Clinton has been hospitalized since Sunday when her doctors
discovered a blood clot in her head, in a vein behind her right ear that
helps carry blood away from the brain. She is being treated with blood
thinners to help dissolve the clot and doctors say she will make a full
recovery.
Finally leaving: Hillary Clinton was alone in the car with her security
team when she finally left New York-Presbyterian Hospital after being
formally discharged on Wednesday
Rest: The Secretary of State is expected to make a full recovery and will rest at home while doing so
There was initially confusion when Clinton first appeared on Wednesday
afternoon because it was unclear whether she was being discharged from
the hospital or if she had only been transported to a nearby medical
facility for tests.
Surrounded by her upbeat family, a team of security guardsand one
doctor, she exited the hospital and was driven across the street to
another facility but then returned to the hospital about a half hour
later.
But by early evening, her spokesman confirmed that she had indeed been
released from the hospital on West 168th Street in Manhattan.
'Secretary Clinton was discharged from the hospital this evening. Her
medical team advised her that she is making good progress on all fronts,
and they are confident she will make a full recovery,' Secretary
Clinton's spokesman Philippe Reines said in a statement.
All smiles: Bill and Chelsea Clinton both grin as they escort Hillary,
65, from the hospital, wearing dark sunglasses and a warm coat to brave
the New York winter chill
Family: Hillary Clinton holds her daughter's hand as she emerges from the hospital on Wednesday after three days
On the mend: Hillary Clinton (left) leaves New York Presbyterian
Hospital with husband, Bill (top right), and daughter, Chelsea (center)
in New York. Her doctors expect she will make a full recovery
Support: Holding tightly to her daughter's hand, the secretary of state
exited the hospital on Wednesday afternoon. Her spokesman confirmed she
was discharged this evening
'She's eager to get back to the office, and we will keep you updated on her schedule as it becomes clearer in the coming days.
'Both she and her family would like to express their appreciation for
the excellent care she received from the doctors, nurses and staff at
New York Presbyterian Hospital Columbia University Medical Center.'
Her daughter Chelsea Clinton confirmed that the Secretary is heading
home, presumably to recover in the family's house in the upscale New
York suburb of Chappaqua. The Clintons bought the home, located only a
40-minute drive outside of Manhattan, in 1999 and have used it as their
primary residence for much of the last decade. Read more: Dailymail.co.uk
Watu wasiojulikana wamevamia maduka na kumuua mlinzi na kuiba eneo la Kihonda.
Watu wasiojulikana wamemvamia maduka yaliyopo eneo la Kihonda cheers,
barabara ya Morogoro Dodoma, na kumuua mlinzi wa Maduka hayo sambamba na
kuiba kilo 18 za nyama ya nguruwe pamoja na kreti nne za bia.
Serikali ya Somalia yataka kudai mali zake zilizoko ugenini
Na Adnan Hussein, Mogadishu
Serikali ya Somalia inafanyia kazi mpango wa kurejesha mali zake
zilizozuiliwa na serikali za kigeni na mashirika tangu kuanguka kwa
serikali kuu mwaka 1991.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia Fowsiyo
Yusuf Haji Aadan anapanga kutembelea nchi kadhaa za kigeni ili kurekodi
na kuzipata tena mali za serikali zilizopotea tangu kuanguka kwa
serikali kuu mwaka 1991. [Na Mohamed Abdiwahab/AFP]
Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia Fowsiyo Yusuf Haji Aadan alianza ziara
yake kwa nchi kadhaa wiki hii ili kurekodi mali za Somalia zenye
thamani ya kifedha katika mabenki ya nje, pamoja na mali zake za
kibiashara, balozi, ndege na meli.
Ya kwanza katika ajenda yake ni safari kwenda Nchi za Falme za Kiarabu, Italia na Uingereza.
"Tutafanya mapitio ya ziada ya mali zote za Somalia duniani katika
mabara yote na tutawasiliana na washauri wa kigeni wa fedha na sheria,"
Aadan aliiambia Sabahi tarehe 27 Disemba. "Serikali ya Somalia itaomba
kurejeshewa fedha zilizoshikiliwa na mamlaka za Uswisi pamoja na meli na
ndege zilizoko Ujerumani, Italia na Yemeni."
Mamlaka ya Ukaguzi wa Soko la Fedha la Uswisi bado halijaweka wazi upana
wa akaunti wa serikali kuu ya zamani ya Somalia au biashara baina ya
benki za Uswisi na viongozi maarufu wa Somalia ambao mali zao
zilizuiliwa.
Huku kukiwa na machafuko kufuatia kuanguka kwa serikali kuu ya Somalia,
baadhi ya serikali za kigeni zilizuwia akaunti rasmi za benki za Somalia
ili kuepuka matumizi yasiyoidhinishwa. Hata hivyo, mali nyingi za
kuoekana za serikali huko nje, ikiwa ni pamoja na ndege na majengo ya
balozi za zamani, tangu wakati huo yamekuwa hayasimamiwi vizuri au
haijulikani hesabu zao.
Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyovuja mwezi wa Julai,
usimamizi mbaya wa mali za umma uliendelea wakati wa Serikali ya Mpito
ya Shirikisho, ambapo asilimia 70 ya mapato yalipotea kwa ufisadi, wizi
au upotevu. Nyingi ya pesa hizi zinashukiwa kuwa zimepelekwa nje.
Wednesday, January 2, 2013
Hali ya rais Hugo Chavez iko imara, asema makamu wa urais Venezuela
Makamu
wa rais nchini Venezuela Nicolas Maduro amesema rais wa nchi hiyo Hugo
Chavez amepata fahamu na kutambua kinachoendelea baada ya kufanyiwa
upasuaji kutokana na rais huyo kuugua saratani
Maduro ametupilia mbali wasiwasi uliokuwepo juu ya hali ya kiafya ya
rais Chavez wakati huu ambapo anatarajiwa kuapishwa rasmi kama rais
katika siku kadhaa zijazo.
Akizungumza na chombo kimoja cha habari hapo jana, Makamu huyo wa urais,
Nicolas Maduro, amesema amemtembelea Hugo Chavez hospitalini nchini
Cuba anakopokea matibabu, na kusalimiana kwa mkono huku Chavez
akionekana mwenye nguvu kabisa. Chavez anatarajiwa kuapishwa tarehe 10
mwezi huu kama rais wa Venezuela kwa kipindi cha miaka sita ijayo.
Lakini kutokana na hali yake kiafya kutokuwa ya kuridhisha, mwelekeo wa
kisiasa nchini humo umekuwa wa wasiwasi mkubwa. Makamu wa rais Maduro
sasa ameunyoshea kidole cha lawama upande wa mrengo wa kulia na baadhi
ya vyombo vya habari nchini Venezuela kwa kutilia chumvi habari juu ya
afya ya Chavez.
Amesema rais anakabiliana na maradhi yake kwa hadhi kubwa na matumaini.
Chavez anayeugua ugonjwa wa saratani alifanyiwa upasuaji wa nne Disemba
11 mjini Havanna. Hadi sasa bado haijabainika rais huyo wa Venezuela
anaugua saratani ya aina gani tangu alipogundulika kuugua ugonjwa huo
mwezi Juni mwaka wa 2011.
Kikwete: Tanzania came close to civil war in 2012
“Quite frankly, for the first time, our country was pushed towards a
profound division of Tanzanians, and even civil war, for religious
affiliation,” President Kikwete deplored in a New Year’s televised
speech.
President Jakaya Kikwete
“Fortunately, it did not happen, and I pray to God to keep us away from
this, for good,” Mr. Kikwete, who is a Muslim indicated, threatening
grievous penalties against “any troublemaker,” without any
discrimination.
In October 2012, Christian churches were ransacked in the nation’s economic capital, Dar-es-Salaam, by a group of Muslims.
According to police and city officials, these violent acts had broken
out after rumors that a 12-year- old boy had urinated on the copy of the
Koran of a Muslim comrade.
Then the police had to make a massive intervention in Dar-es-Salaam, as
well as in the semi-autonomous archipelago of Zanzibar to prevent
similar demonstrations by the Muslim community.
The Tanzanian leader also seized the opportunity of the New Year to
present the preliminary results of the general population and housing
census that was carried out in August 2012.
According to him, the population of Tanzania has jumped from 34 million people in 2002, to over 44.929 million in 2012.
The continental side of the country represents a total of 43.6 million
inhabitants alone, against a little bit over a million islanders on
Zanzibar.
Comments