Monalisa si Waleo si wakesho
MSANII mkongwe katika tasnia ya
filamu nchini Yvone Cheryl Monalisa
ametajwa kuwa ni miongoni mwa wasanii
watakao dumu kwa muda mrefu katika
tasnia ya filamu kutokana na wezo
walionao.
Hayo yamebainishwa baada ya Monalisa
kuonekana kwa mara nyingine ndani ya
filamu inayokwenda kwa jina la Dakika
ya Mwisho.
Filamu hiyo inazungumzia kijana Masumbuko
na Shida kama watoto wa mtaani wanaoteseka
na mazingira ya shida na hatarishi.
Kama ilivyo kwa watoto wa mtaani , kwa kuishi
na kuomba pamoja Masumbuko(Mkamba)na Shida (Monalisa)wanajikuta wanapendana na kuoana
na kuwa Mme na Mke.
Wakiwa katika ndoa Shida anapata tatizo la ugonjwa
wa tumbo , jambo linaloitaji kufanyiwa upasuaji
wa haraka .Lakini tatizo hali zaokiuchumibado ni mbaya.
Masumbuko anaangaika kutafuta kiasi cha fedha
alicho agizwa na Dokta ilikunusulu maisha ya
Mke.
lakini akiwa anakabiliwa na mtihani wa kuokoa
maisha ya mkewe , Masumbuko anaingia katika
janga la kufukuzwa kazi hali inayozidi kumcha
nganya kiakili.
Ni bonge la muvi lililojaa majonzi , simanzi
na masikitiko inayosambazwa na Kampuni ya Pili
Pilipili Entertainment.
Washiriki katika filamu hiyo ni Yvonne Chaerry
'Monalisa', na Kheri Mkamba,Zuberi Mohamedi 'Niva'
Mussa Mshana na Odama.

Ilikujua filamu ipi imengia sokoni ama ip inarajajia kutinga sokoni tembelea www.pilipilimoviehouse.blogspot.com.
Comments