FILAMU inayokwenda kwa jina la Dakika
ya Mwisho imeingia soni .
Ikiwa inazungumzia kijana Masumbuko
(MKAMBA) NA SHIDA (MONALISA) kama
watoto wa mitaani wanaoteseka na mazingira
ya shida na hatarishi.
Kama ilivyo kawaida watoto wengi wa
mitaani , kwa kuishi na kuomba pamoja
, masumbuko na Shida wanajikuta
wanapendana na kuoana na kuwa Mume na
Mke.
Wakiwa katika Ndoa Shida (Monalisa)
anapata tatizo la ugonjwa wa tumbo
jambo linaloitaji kufanyiwa upasuaji wa
haraka .
Lakini tatizo hali zao kiuchumi bado
ni mbaya .
Masumbuko anaangaika kutafuta kiasi cha
pesa alichoagizwa na Dokta ili kunusuru
maisha ya Mkewe.
Lakini akiwa anakabiliwa na mtihani kuokoa
maisha ya mkewe , masumbuko anaingia
katika janga la kufukuzwa kazi hali inayozidi
kumchanganya kiakili.
Nyota walioshiriki filamu hii ni Vvyonne
Cherry 'Monalisa', 'Kheri Mkamba', Zuberi
Muhamedi 'Niva' pamoja na Mussa Mshana.Tembelea www.pilipilimoviehouse.blogspot.com

Comments