Galacha wa komedi asiye na mpinzani, King Mjuto ameingia taani akiwa na full
Package' ya vichekesho ndani ya DVD hiyo inayo kwenda kwa jina 'Ndoto ya Tamaa'.
King Majuto kama kawaida yake ndani ya DVD hiyo amefanya balaa la aina yake
akiwa ameshirikiana na wasanii nyota kama Nassor Abdi na Jini Msomali.
Kampuni inayo husika kusambaza filamu hiyo Pilipili Entertainment inawahakikishia
mashabiki wa King Majuto kwamba hakuna atakaye nunua DVD hiyo kisha akajutia fedha
zake.Package' ya vichekesho ndani ya DVD hiyo inayo kwenda kwa jina 'Ndoto ya Tamaa'.
King Majuto kama kawaida yake ndani ya DVD hiyo amefanya balaa la aina yake
akiwa ameshirikiana na wasanii nyota kama Nassor Abdi na Jini Msomali.
Kampuni inayo husika kusambaza filamu hiyo Pilipili Entertainment inawahakikishia
mashabiki wa King Majuto kwamba hakuna atakaye nunua DVD hiyo kisha akajutia fedha
Hii ni Komedi ya ukwelikutoka kwa Mzee Mjuto ajili ya mwaka 2013 imesema kampuni ya Pilipili.
Tembelea www.pilipilimoviehouse.blogspot.com ilikupata kujua filamu zipi zinatarajia kukita kitaani
Comments