Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitoa Maelezo ya Matumizi ya Bajeti ya Nusu Mwaka wa Fedha 2012/2013 Mbele ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira Kwenye Ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa kamati wakimsikiliza Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereyza Huvisa kikao hicho
kilichofanyika kwenye ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Charls
Kitwanga akizungumza Jambo na Mbunge wa Jimbo la Pangani Saleh Mbamba
Mara Baada ya Kikao cha Bajeti ya Nusu Mwaka kwa Ofisi ya Makamu wa
Rais Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias
Ningu {Picha na Ali Meja]
Comments