Skip to main content

UWOYA AIBUA JAMBO


Na Richard Bukos
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amezua jambo baada ya mume wa mtu, mkazi wa Kata ya Kwadelo wilayani Kondoa, Dodoma ambaye jina lake halikupatikana, kushindwa kuficha hisia zake za kimahaba na kuonesha waziwazi kumzimikia staa huyo.Tukio hilo lilishuhudiwa na mwanahabari wetu hivi karibuni ambapo Uwoya alikutana na mwanaume huyo kijijini Kwadelo alipokwenda na wasanii wenzake, Jacob Steven ‘JB’ Wema Sepetu, Single Mtambalike ‘Richie’ na Vincent Kigosi ‘Ray’ kuzindua mradi wa Kilimo Kwanza Ajira kwa Vijana kwa mwaliko wa diwani wa kata hiyo, Omary Kariati.
Baada ya kupata nafasi ya kumuona Uwoya uso kwa uso katika maisha yake, mwanaume huyo alifanya jitihada za hali ya juu kujipenyeza katikati ya wanakijiji wenzake na kwenda kuweka pozi na staa huyo kisha kupiga naye picha huku akimkagua kuanzia ukucha hadi unywele.Kama hiyo haitoshi, baada ya kugundua kuwa Uwoya ni mtu wa kawaida tofauti na alivyomfikiria, alianza kumchezea nywele zake kimahaba huku akitamani kuambatana naye kila alipokuwa  akielekea kijijini hapo.
Kwa mujibu wa wanakijiji wenzake, jamaa huyo alikuwa akitamba kuwa alimtaka Uwoya awe mkewe wa pili lakini aliishia kucheka tu bila kumkubalia wala kumkatalia kwa kuwa alimchukulia kama shabiki wake wa kawaida tu.
Katika tukio hilo, mbali na kuzindua Kilimo Kwanza, wasanii hao na Diwani Kariati, pia waliwakabidhi wanakijiji hao Sh. laki tano zilizotolewa kama pole na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard Membe kufuatia kijiji hicho kukumbwa na maafa ya mafuriko hivi karibuni.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...