MUVI iliyochezwa na mastaa wawili tofauti
Thabit Abdul (Mwamamuziki) na Jenifar Kyaka
Odama inaendelea kufanya vizuri sokoni.
Muvi hiyo inazungumzia mkasa wa mapenzi
ndani ya Chuo cha muziki iliingia sokoni
wiki chache zilizopita.
Ndani ya ujio huo Thabit Addul amedhihirisha
kuwa si muziki pekeyake yake ndiyo fani yake
kwani anamudu pia uigizaji.
Tembelea www. pilipilimoviehouse.blospot.com

Comments