Skip to main content

Majeshi ya Ufaransa na Mali yaendelea na doria katika Mji wa Timbuktu


Majeshi ya Ufaransa na Mali yanaendelea kufanya doria katika Mji uliojaaliwa misitu mingi wa Timbuktu baada ya kupata mapokezi ya kishujaa kutoka kwa wakazi wake baada ya Makundi ya Kiislam ambayo yalikuwa yameweka makazi yao kwa kipindi cha miezi tisa kuondoka.
Msikiti uliopo katika Mji wa Timbuktu, Mali eneo ambalo limechukuliwa na Majeshi ya Ufaransa na Mali
Doria hii ni harakati za kufanya uchunguzi kama Wapiganaji wa Makundi ya Kiislam wameendelea kujihifadhi katika maeneo mbalimbali kwenye Mji wa Timbuktu baada ya kuingia kwenye eneo hilo bila ya kukabiliwa na upinzani wa aina yoyote.
Wananchi wa Mji wa Timbuktu wameonesha furaha yao pindi tu majeshi ya Ufaransa na yale ya Mali yalipofanikiwa kuingia katika Mji huo ikiwa ni ishara ya kuurejesha tena kwenye mikono ya serikali baada ya kuanguka kwa wapiganaji hao.
Wakazi wa timbuktu wamewapokea wanajeshi wa Ufaransa na Mali kama mashujaa huku wakiimba “Mali, Mali, Mali” na kupeperusha bendera za mataifa hayo mawili ambayo yamekuwa mstari wa mbele kuyatokomeza makundi hayo ya Kiislam.
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amekiri hatua ya kuuchukua Mji wa Timbuktu ni hatua kubwa katika mapambano yao ya kigaidi ambayo wameyaanzisha katika eneo la Kaskazini mwa Bara la Afrika.
Hollande amesisitiza wana wakati mgumu katika mapambano hayo dhidi ya ugaidi kutokana na vitendo hivyo kukita mizizi katika eneo la Kaskazini mwa Bara la Afrika lakini wamekuwa na mwanzo mzuri.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.