Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa,Ulinzi na
Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo kusini Mwa Afika SADC Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa pamoja na na Rais wa Madagascar Andry
Rajolina(kulia),Rais Wa Namibia Hifikepunye Pohamba(kushoto) na Rais wa
Msumbiji Armando Guebuza ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi wakati
wa kikao cha Kamati hicho leo(picha na Freddy Maro)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments