Skip to main content

Wanaosagana wafunga ndoa

Moja ya baadhi za picha walizopigwa wanandoa hao ambapo majina yao hayakutajwa kwa sababu zisizojulikana.

KINYUME na matarajio na utamaduni wa Afrika, ndoa za jinsia moja ambazo ni jambo linaloshutumiwa kwa kiwango kikubwa barani Afrika, zinaonekana kuwanyemelea watu wa bara hili. 

Pamoja na kupingwa karibu sehemu zote, tabia hiyo ambayo imeenea rasmi na au kwa kificho sehemu nyingi duniani, imeanza kuwa tishio la kuvuruga mifumo ya mila na tamaduni za asili za binadamu katika misingi ya kawaida ya kijamii, kidini na kimaumbile. 

Katika tukio la hivi karibuni nchini Uholanzi, wanawake wawili waliosemekana kuwa ni wananchi wa Ghana, walifunga ndoa kwa kivuli cha mume na mke.  Tukio hilo lilinaswa na vyombo mbalimbali vya habari vikiwaonyesha wanawake hao wakiwa katika mavazi ya harusi; mmoja akiwa amevaa mavazi ya kiume na mwingine mavazi ya kike.

Katika mazingira ambayo hayakufahamika, majina ya wanandoa hao, hayakutajwa licha ya sura zao kuonyeshwa waziwazi.

Picha nyingine, miongoni mwa nyingi zilizonaswa ni ile wanayobusiana kuonyesha penzi lao, wakiwa wamevaa nguo zenye asili na mapambo ya Ghana. 

Pamoja na tukio hilo kushutumiwa na baadhi ya watu wa Ghana, kuna uwezekano wa kuwepo au kuendelezwa kwa mjadala  kuhusu ndoa za jinsia moja nchini humo. 

Kwa mujibu wa Rais wa Ghana, Akufo Addo, akihojiwa na kituo cha Al Jazeera, nchi yake inaweza kuhalalisha ndoa za jinsia moja iwapo patakuwa na matakwa mengi ya kufanya hivyo.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo  linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...