Skip to main content

Maboresho ya Magari hayo 11 yameisaidia Serikali kuokoa kiasi cha Zaidi ya Shillingi Billion moja


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo amefanya Ziara ya kukagua Maendeleo ya Ukarabati wa Mabasi 11 ya Vyombo vya ulinzi na Usalama ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza na Jeshi la Wananchi ambapo hadi Mwishoni mwa mwezi huu baadhi yatakuwa yamekamilika na kukabidhiwa.
Magari hayo ni yale yaliyopelekwa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani yakiwa Chakavu (Screpa) na sasa yapo katika hatua ya mwisho kukamilika yakifungwa vifaa vya kisasa ikiwemo AC, Chaji ya Simu, TV, Viti,  Bodi mpya, Taa, Side mirrors, Tairi, Vioo huku baadhi zikiwekewa Vyoo vya Ndani. 

RC Makonda ameeleza kuridhika na kasi ya ujenzi huo ambapo ameshukuru kiwanda cha Dar Coach Ltd kwa uzalendo wa kujitolea kukarabati Magari hayo.
Aidha RC Makonda amesema maboresho ya Magari hayo 11 yameisaidia Serikali kuokoa kiasi cha Zaidi ya Shillingi Billion moja ambazo serikali ingetumia lakini kampuni hiyo imejitolea kukarabati Magari hayo Bure. 
Nao Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama walioambatana na RC Makonda akiwemo Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dsm Lazaro Mambosasa, Mkuu wa Jeshi la Magereza DCP Agustin Mboje na Kaimu Mkuu mkuu wa Usafirishaji JWTZ Canal Benjamin Kisinda wamempongeza RC Makonda kwa ubunifu anaoufanya ambapo wamesema Magari hayo yatasaidia kuimarisha ulinzi na usalama pamoja na kuwafanya Askari kufanya kazi katika mazingira mazuri. 
Kwa upande wake Mkurugenzi wa kiwanda cha Dar Coach Ltd Bwana Manmeet Lal amemuhakikishia RC Makonda kuwa magari Matano Kati ya 11 yatakabidhiwa mwishoni mwa mwezi huu.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.