Skip to main content

Jan international yaanza kutoa magari kwa washindi wa bahati nasibu


Jan international  katika  kuboresha  hali ya ajira nchini  ambapo hivi karibuni  inatarajia kuajiri wafanya kazi  wapatao 500 kutokana na upanuzi wa ofisi za 
kamuni hiyo katika mikoa mbali mbali nchini .






Hayo yamesemwa na meneja wa kamuni hiyo Mohamed Shaibu Omary mwishoni mwa wiki  iliyopita
ambapo mshindi wa bahati nasibu ya nunua gari ushinde  gari   Harob Seif  Hemed aliibuka kuwa mshindi
wa bahati nasibu hiyo iliyoshindanishwa kati ya desemba  na Januari 

Mohamed alisema wakati wa hafla ya makabidhiano ya  gari hiyo mshindi huyo ameshinda  baada ya kununua gari nyingi katika  yard ya Namanga jijini Dar es Salaam.

"Kampuni yetu imejikita  katika kuboresha  maisha ya watu  kwa kutoa magari  bora na ya kisasa  kuzingatia kuwa kuna ushindani mkubwa wa uuzaji  magari  toka nchini Japani,"alisema Mohamed.



Hata hivyo alisema pamoja na wingi huo  bado wataendelea kuuza gari bora  na za kisasa  na kupanua huduma  hizo katika mikoa  mingine  kamuni hiyo ya kimataifa  inaofisi  Vingunguti na Namanga  jijini  Dar
es Salaam  kwa  kampuni  hiyo inawaajiri wa kudumu 60 ,pamoja na hayo imedhamilia kutoa  huduma  bora
 kwa wateja wake na kuwa wamepatia  mshindi  wa zawadi ya gari  aina ya Aaron  yaenye  thamani ya Sh.13 Milioni.

Naye Harob Seif  yeye alisema  kuwa  amenunua magari  mengi sana ndiyo maana  amepata hiyo
zawadi  na kuwa amestahili. 


Kamuni hyo imeanzishwa huko Japan miaka ya 2000 na hapa nchini Tanzania  mwaka 2014, nakuwa inaendelea na kuendesha Bahati nasibu  hiyo katika  yard zake  za Vingunguti  Bara Bara ya Nyerere na
Bara Bara ya Halhasani  Mwinyi Namanga.


Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...