Skip to main content

Humphrey Polepole Chama kitajipanga vizuri zaidi na kutekeleza majukumu yake kama inavyotakiwa

Image result for Humphrey Polepole,
Katibu  wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole

Katibu  wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, amesema kama chama hicho kitajipanga vizuri zaidi na kutekeleza majukumu yake kama inavyotakiwa, hakutakuwa na upinzani.

Polepole aliyasema hayo juzi, wakati akiwapokea viongozi kadhaa waliovihama vyama vyao na kujiunga na CCM wakitokea mikoa ya Dodoma, Siginda, Tabora na Kilimanjaro.

"Mimi nawaeleza kama wana CCM tutajipanga vizuri na kuachana na ubinafsi, heshima ya chama chetu mkoani Kilimanjaro itarejea kwa sababu tutakapotekeleza majukumu yetu inavyotakiwa, upinzani hautakuwapo," alisema.

Viongozi hao 37 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo walijiunga na CCM na kupokewa na Polepole katika ofisi za chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro mjini hapa.

Kwa mujibu wa Polepole, chanzo cha kuhama kwa baadhi ya wanachama wa CCM mwaka 2015 na kwenda upinzani, kilikuwa ukiukwaji wa misingi ya haki na wajibu ndani ya chama hicho.

"Msingi ya kuanzishwa kwa CCM ni kusimamia haki na wajibu wa watu, hivyo kuhama kwa wanachama hao kulitokana na kukosekana kwa haki na CCM kukosa mvuto kwa watu. Lakini sasa tumetambua ni wapi tumekosea ndiyo maana CCM ya sasa imekuwa na mvuto,” alisema.

Aliongeza kuwa: "Kwasasa walioihama CCM wameanza kurejea Kutokana na chama sasa kurejesha imani, haki na wajibu kwa wanachama.”

Alisema CCM ya sasa imejenga imani kubwa kwa Watanzania kutokana na kufanyika kwa uboreshaji na utendaji kazi wa Mwenyekiti waTaifa CCM, Rais Dk. John Magufuli.

Polepole alisisitiza kwamba mageuzi makubwa yanayofanyika kwa sasa ndani ya chama hicho yamerudisha chama mikononi mwa wananchi na kuwataka wana CCM wasiwakatae wanachama wanaotoka upinzani.

Pia aliwataka viongozi wa chama mkoani Kilimanjaro kuhakikisha wanawasimamia watendaji wa serikali kwa karibu ili kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa mujibu wa sheria ikiwamo kutoa fedha za mikopo kwa vikundi vya wanawake na vijana.mpekuzi

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...