Skip to main content

Mashabiki Simba Wampokea Chirwa kwa mbwembe Dar




Mashabiki wa mpira wakiwa wamekusanyika kwenye basi la Yanga baada ya kuwasili na boti jijini Dar es salaam kuota Zanziba
Mashabiki waliofurika kwenda kuipokea timu ya Yanga 
Kocha Msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa akizungumza na wanahabari


Wanajangwani baada ya kuondolewa na Timu ya URA  kwa Penati 5 kwa 4 kwenye michuano ya Ligi ya Mapinduzi hapo jana Timu ya Yanga ya Tanzania Bara  hatimaye leo imerejea jijini Dar es salaam huku hamasa kubwa ya mashabiki wakitaka kumuona mshambuliaji Obrey Chirwa ambaye alikosa penati ya Mwisho.


Kocha Msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa amezungumza na wanahabari wakati timu yake ilipowasili na boti kutoka visiwani Zanzibar leo  ambapo amesema michezo ilikuwa mizuri na wamejifunza mambo mengi kwenye michezo hiyo.

"Tumemaliza michuano ya Mapinduzi na hivi sasa nguvu yetu tunaihamishia kwenye Ligi kuu na kombe la FA hivyo tunawakata mashabiki zetu waendelee kutuunga mkono"amesema Nsajigwa

Nsajigwa amesema kikosi chao ni kikubwa na hivyo wameona viwango vywa wachezaji namna ambavyo wametoa michango yao kwenye michuano hiyo.

Kwa Upande wake mchezaji wa timu hiyo  Papy Tshishimbi amefurahi kuwa mmoja kati ya wachezaji walioshiriki kwenye michuano hiyo na hivyo wataendelea kufanya mizuri kwa michuano ya hapa nchini.

Nao Mashabiki mbalimbali ambao walikuwa wakiisubiria timu ya Yanga kutoka Zanzibar wamesema timu hiyo inapaswa kutizama makosa ambayo wameyafanya na hivyo kuyatendea kazi.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj