Jan international katika kuboresha hali ya ajira nchini ambapo hivi karibuni inatarajia kuajiri wafanya kazi wapatao 500 kutokana na upanuzi wa ofisi za
kamuni hiyo katika mikoa mbali mbali nchini .
Hayo yamesemwa na meneja wa kamuni hiyo Mohamed Shaibu Omary mwishoni mwa wiki iliyopita
ambapo mshindi wa bahati nasibu ya nunua gari ushinde gari Harob Seif Hemed aliibuka kuwa mshindi
wa bahati nasibu hiyo iliyoshindanishwa kati ya desemba na Januari
Mohamed alisema wakati wa hafla ya makabidhiano ya gari hiyo mshindi huyo ameshinda baada ya kununua gari nyingi katika yard ya Namanga jijini Dar es Salaam.
"Kampuni yetu imejikita katika kuboresha maisha ya watu kwa kutoa magari bora na ya kisasa kuzingatia kuwa kuna ushindani mkubwa wa uuzaji magari toka nchini Japani,"alisema Mohamed.
Hata hivyo alisema pamoja na wingi huo bado wataendelea kuuza gari bora na za kisasa na kupanua huduma hizo katika mikoa mingine kamuni hiyo ya kimataifa inaofisi Vingunguti na Namanga jijini Dar
es Salaam kwa kampuni hiyo inawaajiri wa kudumu 60 ,pamoja na hayo imedhamilia kutoa huduma bora
kwa wateja wake na kuwa wamepatia mshindi wa zawadi ya gari aina ya Aaron yaenye thamani ya Sh.13 Milioni.
Naye Harob Seif yeye alisema kuwa amenunua magari mengi sana ndiyo maana amepata hiyo
zawadi na kuwa amestahili.
Kamuni hyo imeanzishwa huko Japan miaka ya 2000 na hapa nchini Tanzania mwaka 2014, nakuwa inaendelea na kuendesha Bahati nasibu hiyo katika yard zake za Vingunguti Bara Bara ya Nyerere na
Bara Bara ya Halhasani Mwinyi Namanga.
Comments