Skip to main content

Jiji la Dar es Salaa limepanga kujenga viwanda vidogo vidogo kwa ajili ya wanawake,vijana na walemavu


Image result for Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam
 Dar es salaam


Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam pamoja na kuwawezesha wawekezaji wakubwa wa viwanda kufikia malengo yao na kuwajengea mazingira bora ya uwekezaji imepanga kujenga viwanda vidogo vidogo kwa ajili ya wanawake,vijana na walemavu.

Hayo yamebainishwa leo na afisa maendeleo ya jamii mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam MARGARETH MAZWILE ambapo amesema Halmashauri ya jiji inaona kuna kila sababu ya kuendelea  kuwasaidia wanawake,vijana na walemavu wanaopata mikopo kutoka halmashauri ya jiji kuwa mazingira wanayofanya shughuli zao sio rafiki na wanahangaika sana kutafuta masoko.

MAZWILE amesema mipango ya Halmashauri ya jiji ni kuendelea  kujenga viwanda hivyo katika maeneo mbali mbali jiji ambayo itasaidia serikali katika juhudi zake za kufikia uchumi wa kati.

Aidha afisa huyo ametanabaisha kuwa katika bajeti ya mwaka huu wanatarajia kujenga viwanda kumi na mbili huku halmashauri ikitenga shilingi milioni mia sita kwa ajili ya viwanda vidogo vidogo na tayari halmashauri imesha jenga viwanda vya shilingi milioni mia mbili hamsini ambavyo ni viwanda sita vya mwanzo.

Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam inawasaidia wajasiriamali hao kujitangaza zaidi ili waweze kupata masoko ya bidhaa zao ndani na nje ya nchi vile vile wataweza kubadilishana ujuzi na wenzao wa maeneo mengine, kufundishana wenyewe kwa wenyewe, kusaidiana na kupeana maarifa ya kutengeneza na kuuza bidhaa zao pamoja na ziara za mafunzo kulingana na uhitaji.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...