Skip to main content

Kamanda wa chombo cha kwanza cha safari za anga za juu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87


US astronaut John Young aboard Gemini 3 on March 23, 1965.John Young alifanya safari yake ya kwanza na Gemini 3 mwaka 1965
Mwanasayansi wa safari za anga za juu raia wa Marekani John Young ambaye alisafiri kwenda mwezi mara mbili na kuhudumu kama Kamanda wa chombo cha kwanza cha safari za anga za juu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87.
Young alikuwa mtu pekee kuwai kushiriki safari za anga za juu za Gemini, Apollo na Space Shuttle.
Wakati mmoja pia alipata umaarufu kwa kusafirisha kisiri nyama kwenda safari ya anga za juu kwa mwnsasayansi mwenzake kama zawadi.
Young alistaafu mwaka 2004 baada ya taaluma ya miaka 42. Nasa wanasema kuwa alifariki siku ya Ijumma kutokana na ugonjwa wa kichomi.
Baada ya kuzaliwa huko San Francisco mwaka 1930 alipata shahada ya uandisi kutoka taasisi ya Georgia Institute of Technology na baadaye kuhudumu kama rubani wa jeshi la wanamaji wa Marekani.
Alijiunga na Nasa mwaka 1992 na mara ya kwanza kusafiri kwenda anga za juu mwaka 1965 wakati wa safari ya Gemini 3.
Mwezi Mei mwaka 1969 Young alikuwa miongoni mwa wanasayasansi waliosafiri kwa chombo cha Apollo 10 kama jaribio la safari ya kwenda mwezini kwa chombo cha Apollo 11 miezi miwili baadaye
Young baadaye alitembea kwa miguu mwezini mwaka 1972 kama kamanda wa safari ya Apollo 16.BBC

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...