Mwenyekiti wa Shirikisho CTI Dk.Samwel nyantahe.
|
SHIRIKISHO la viwanda nchini (CTI)imeiomba serikali kuweza kutoa vibali vya
usambazaji sukari ilikuweza kunusuru sekta yaviwanda vyavinjwaji nchini ambayo
hutumia sukari hiyo ilkuweza kuzalisha bidhaa hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwenyekiti wa Shirikisho hilo
Dk.Samweli Nyantahe amesema kuwa kwazaidi yamiaka mitatu kumekuwa natatizo
lakuadimika kwa sukari za viwandani jambo linalo weka baadhi yaviwanda
vinavyozalisha bidhaa hiyo kusua sua katika uzalishaji .
''Hali hii imepelekea kwa baadhi yawafanyabishara wasioaaminifu kuanza
kuchanganya sukari yakaaida ambayo inatozo yasilimia 12wakati sukari
yaviwandani ikitozwa kwa asilimia15 kodi yamapato nakusabisha viwanda hivyo
kurejeshewa shilingi bilioni25kwenye viwanda vikubwa ''Alisema Dk.samweli
Nyantahe
Mwenyekiti Dk.Nyantahe amesema kuwa kutokana na tozo hiyo inatarajikupeleka
ombi kwa wizara ya viwanda ilikuweza kufanya majadiliano juu yatozo hilo
ilikuweza kunusuru sekta viwanda vyavinywaji ambayo hutumia malighafi hiyo .
Amesema kuwa wafanyabisharawengi tayari wameshaagiza sukali ila
wanaimbombakutoa vibali hivyo bandarini ilikutoa bidhaa hiyo adimu katika
viwanda nakusitiza kuwa hatua ya serikali kuzuia sukali hiyokuta sabisha
ukosefu wa ajira kwa baadhisekta za usambazaji sukari nchini.
Comments