Skip to main content

Mshindi wa gali katika shindano la Misuli Majura aanza kujipanga kutimkia Nigeria


MSHINDI wa shindano la kutunisha misuli Erick Majura amsema mara baada ya kutwaa
ushindi katika ukumbi wa Mayfair jijini Dar es Salaam Desemba mwaka jana bado anaendelea
kujiweka fiti kuelekea shindano jingine litakalo fanyika nchini Nigeria.


Hali hiyo inakuja baada ya mwishoni mwa mwaka jana ambapo shirikisho  la Ujenzi wa
Mwili Tanzania (TBBF) kwa kushirikiana na Kampuni waandaaji wa shindano hilo Pilipili
intertainment kuandaa vema shindano hilo.

Majura alisema baada ya kuwa mshindi na kuweza kutwaa gali na kitita cha sh.Milion 10,000
kwa kuwagalagaza vibaya wenzake walioshiriki ,  taswira yake kwa sasa inawazia kuendelea
mbele zaidi ambapo anajiandaa kwenda kushiriki shindano kubwa la Afrika katika mchezo huo
wa misuli.


"Najua tutakwenda kuchuana na wenzangu wenye sifa kama mimi , tayari naendelea kujipanga
kwa kufanya mazoezi vema katika mazoezi yangu ya kila siku kwa mwenyezi Mungu ni mkubwa
na shukuru sana kwa kuwa mshindi kwa mwaka jana hatua inayoniwezesha kutinga katika shindano
la Afrika mwishoni mwa mwaka huu,"alisema Majura.


Wakati huo huo mmiliki wa Gym iliyomwandaa mpaka kufikia kutwaa ushindi kwa mshindi huo 
Mohamed Ali ,ambaye pia ni mmiliki waGym ya mazoezi ya Gymkhana Dar es Salaam amesifia 
mchezo huu,  na kusema kua shindano hilo  mwaka jana  liliofanyika katika ukumbi wa 
Mayfaijijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwakajana kuwa lilifanyika vema na kuwa limeongeza
hali ya ushawishi kwa wanamichezo.


Ali alimpongeza mshindi huyo aliyeibuka na kitita cha Shilingi Milioni 10 na kusema ni moja ya mafanikio
ya kuutangaza mchezo huo kwa siku za hivi sasa .


Alisema mchezo huo umekuwa ukifanyika nchini kuanzia miaka ya 1990
na kuwa safari katika maisha ya mchezo huo unaonekana kufikia malengo
mengine  hivyo onesho hilo limeweza kuonesha hamasa mpya kwa jamii .

"Napenda kuona Wadau katika  mchezo huu, kuendelea kushiriki vema kwani  hamasa 
mpya kama hii walionesha waandaaji kwa kuandaa shindano katika uwezo mkubwa, 
ni ushawishi mpya kwa vijana wapya,"alisema Ali.

Ali alisema zawadi zilizoandaliwa kwa washindi na maandali ya mchezo
huo kweli waandaaji walijitaidi kufanya maandalizi mazuri .

Mdau huyo mkubwa katika mchezo huo ambaye  mwaka 2014 aliandaa shindano lake lililo
itwa ( The Most Musicular Man Tanzania 2014) na kufanikiwa kuendela kuonesha taswira
ya watu kuendelea kuwa na hamasa juu ya kushiriki katika mchezo huo.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...