Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2012

Omar Bashir renews support for Kony

Sudanese President Omar Bashir By Henry Mukasa The Government of Sudan has renewed support to the Lords’ Resistance Army (LRA) rebels, the Ministry of Defence has disclosed. The ministry also said LRA leader Joseph Kony who has been oscillating between the dense Garamba forest in the eastern Democratic Republic of Congo (DRC) and Central Africa Republic (CAR), is hiding in Bahr el Gazel, an area within Sudan territory. “He is in Bahr Gazel, a Khartoum-controlled area. We captured a rebel who was wearing a new uniform and said it was supplied by Khartoum, together with ammunition,” Col. Felix Kulayigye, the defence ministry spokesperson said. “Since he had run out of ammunition and uniforms, he had to go back to his God-father, if I am to use those words,” Kulayigye added. He told local and international journalists that whenever Kony runs out of ammunition, he crosses to Sudan and returns to CAR whenever he runs dry on food. Read more »

SHEREHE YA WANA KAMPENI WA MWENYEKITI WA DMV MH. RAIS IDDI SANDALY YAFANA!

Mpango mzima wa nyama choma katika sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa jumuiya ya waTanzania DMV Mh. Rais Iddy Sandaly na uongozi mzima wa Jumuiya ya waTanzania Nchini Marekani. Mzee njee njee katika mpango mzima wa makarangizo ya madikodiko ndani ya jiko Muimbaji wa Bongo Flava marufu kwa jina la Suma Lee akipata picha ya pamoja na warembo wa Washington DC Waana jumuiya wakipata picha ya pamoja Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mh. Iddy Sandaly akipata nyama choma ilioandaliwa kwa kupongezwakwa ushindi. Ev. Lucas Moshi akipata picha na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Mh.  Iddy Sandaly     Mjomba Mashaka akiwa na kocha wa Yanga ya ughaibuni Yassin Randi Dj  dave akitoa burudani ndani  ya nyumba     Sherehe ndani ya hali halisi ndivyo ilivyo furaha na pongezi kwa viongozi walionyakua ushindi Dj Dav na Dj Muddy watoa burudani kwa wana Jumuiya ya waTanzania DMV ndani ya nyumba Wana ju...

BREAKING NEWS.....MBUNGE WA JIMBO LA SUMBAWANGA MJINI AVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA

aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal akiwa katika mazungumzo waziri mkuu Mizengo Pinda (kulia) aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal akiwa katika mazungumzo na Rais Jakaya Kikwete Aliyekuwa mbunge wa CCM jimbo la Sumbawanga Aeshi Hilla akiwa katika moja kati ya mikutano yake ya kampeni zilizompa ubunge ambao leo umekoma. Mahakama imetengua ubunge wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal hivyo kuanzia sasa jimbo hilo lipo wazi kwa ajili ya uchaguzi mwingine kama ilivyo kwa jimbo la Arusha mjini .Inatoka kwa mdau.

“NIDANGANYE”-SHETTA Feat.DIAMOND

Mapenzi ni uongo??Ni swali gumu ambalo laweza kuwa jepesi pia!Usishangae na wala usibishe.Ndio ukweli.Kinyume cha hapo unaniongopea.Nidanganye. Kuna wakati lala lalal lalala za mapenzi hujaa uongo unaopendeza. Wenzetu wa huko mbele wanasema Sweet Nothings.Utupu. Ukweli unauma…nakupenda! Kuna wakati mapenzi hupumbaza.Unachoambiwa na mhusika ndicho unachokielewa na kukikubali. Nakupenda wewe zaidi ya mwingine.Unakubali hata kama kila mtu anakwambia sio kweli.Mpo wengi. Analosema ndio sheria.Ni wewe tu. Maudhui hayo ya mapenzi ndio yaliyomo katika wimbo mpya kutoka kwa Shetta akiwa amemshirikisha Diamond . Kama wimbo unavyoitwa Shetta na Diamond wanasema Nidanganye…ukiniambia ukweli roho itauma sana.Nitaumia. Diamond anasema kwenye chorus kwamba  hata akimkuta chumbani kakumbatiwa…mmmmh!! Hii ni production nyingine kutoka kwa KGT. KGT ni Producer ambaye kwa maoni yangu,he is one of the best. Hasikiki sana kama wengine coz he is such a cool and quite guy. H...

Pinda atembelea Kijiji cha kilimo cha Pangawe, morogoro

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ( wa kwanza kulia) akizungumza na mkulima wa vikundi wa Kijiji cha Pangawe, Zarau Hemedi ( kushoto) alipokuwa akikagua shamba darasa ya mradi wa maendeleo jumuishi vijijini unaoendeshwa na Shirika la Maendeleo ya Serikali ya Korea Kusini ( KOICA) , ( wapili kutoka kulia ) ni Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon .   Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinga akikagua zana za kilimo za kijiji cha mfano cha kilimo cha Pangawe Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon akikunjua kutambaa kwenye bango lililoandikwa maelezo ya mafunzo kwa vikundi vya wakulima wa Kijiji cha Pangawe , huku Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiyasoma kwa makini wakaati alipokuwa akikagua shamba darasa ya mradi wa maendeleo jumuishi vijijini unaoendeshwa na Shirika la Maendeleo ya Serikali ya Korea Kusini ( KOICA) . Picha na John Nditi

The night LiLo and Kim met Barack and Michelle: Wise-cracking President hosts star-studded White House Correspondents' Dinner

Comedian-in-chief: President Obama was in fine form Saturday night and delivered a comedy routine that left the audience in stitches. No one was safe from mockery, including the shamed Secret Service and likely GOP adversary Mitt Romney. Dazzling: First lady Michelle Obama was beaming at the dinner in a modified version of Naeem Khan's paisley organza ball gown from the Fall/Winter 2011 collection, while host Jimmy Kimmel, left, looked a little more sombre Candid chat: Mrs Obama leans in to hear what must be a snarky comment from Kimmel Kardashian klan: Kim Kardashian, left, and her mother Kris Jenner sit at their table during dinner; the President made several cracks at Kardashian Job well done: President Obama high-fived Jimmy Kimmel, right, who hosted the night's events as Caren Bohan, centre, of Reuters, looks on delighted Jovial: President Obama waves alongside Caren Bohan, right, of Reuters, President of the White House Correspo...

FRANCIS CHEKA BADO MBABE WA NGUMI TANZANIA anyakua gari

FRANCIS CHEKA BADO MBABE WA NGUMI TANZANIA anyakua gari Bondia Francis Cheka jana alijidhihirishia kwamba yeye bado ni bondia bora Tanzania baada ya kumchapa kwa TKO bondia Mada Maugo katika raundi ya saba ya mchezo wa raundi 12.Mada Maugo baada ya kuona kwamba alizidiwa vyakutosha katika raundi ya 6 ilipotaka kuanza raundi ya saba hakakataa kuendelea na kusema amekubali kushindwa kwani hana pumzi tena za kuendelea na raundi zingine.(picha kutoka maktaba)

SIMBA YATUWAKILISHA VYEMA JANA BAADA YA KUIBANJUA AL AHLY SHANDY YA SUDAN 3-0

Waziri Mkuu mstaafu, Mh Frederick Sumaye akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage baada ya kumalizika kwa mchezo. Picha zote na Francis Dande Timu ya soka ya Simba jioni hii imeifunga bao 3-0 klabu ya Al Ahly Shandy kutoka Sudan katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF), kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wekundu wa Msimbazi ndio timu pekee kutoka katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyobaki katika michuano yote ya kimataifa inayosimamiwa na CAF, ambapo pia ni wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika michuano ya kimataifa. Simba imejiwekea mazingira mazuri ya kuingia kwenye hatua ya Nane Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, baada ya kuifunga Al Ahly Shandy mabao 3-0 jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Simba sasa inahitaji sare yoyote kwenye mchezo wa marudiano, au kufungwa si chini ya mabao 2-0 ili kuingia kwenye kapu la kuwania kucheza hatua ya makundi ya michuano hiy...

CONGRATULATIONS TO HAKI NGOWI AND EDNA KYANDO

  Blogger wa siku nyingi, Haki Ngowi, ambaye hublog kupitia hapa , jana alijiunga rasmi na klabu ya wakubwa pale alipofunga ndoa na Edna Kyando,katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar-es-salaam na baadaye kuungana na ndugu,jamaa na marafiki katika sherehe ya pongezi iliyofanyikia katika Hotel ya Golden Tulip. BC inapenda kuwapongeza Haki na Edna na kuwatakia kila la Kheri katika maisha yao mapya.Congratulations. Kwa picha zaidi kutoka katika tukio hili, BONYEZA HAPA .

Shambulio la bomu Nigeria

Takriban watu watatu wameuawa katika shambulio lililotokea kwenye ofisi za kampuni moja ya kuchapisha magazeti katika mji mkuu Abuja,Nigeria wafanyakazi wa huduma za dharura wanasema. Kuna taarifa pia za vifo vya watu wengine watatu baada ya shambulio lingine la bomu katika mji wa kaskazini wa Kaduna kutokea. Shambulio la mjini Abuja katika kampuni ya gazeti la ThisDay lilitokana na bomu, msemaji wa halmashauri ya shughuli za dharura za kitaifa amesema.

Muslims to Museveni : Keep off our issues

Muslims opposed to the leadership of Mufti Shaban Mubajje have asked President Museveni to stop meddling in their affairs, warning that this might “cost his government dearly.” The leaders accuse the President of allying with Mufti Mubajje to cause confusion within the Muslim community by manipulating the Uganda Muslim Supreme Council (UMSC) constitution to sell off Muslim property. Speaking to Muslims at Kibuli Mosque on Thursday, Hajj Muhammad Kisambira, the secretary general for the Kibuli-based faction, said of all the regimes which have governed Uganda, it is the NRM government which has despised Muslims to the extent of making non-Muslims supervise their affairs. Hajj Kisambira also accused the President of involving State agents like Resident District Commissioners and security intelligence agents in supervising Muslim activities, including the election of new representatives to UMSC general assembly which Sheikh Mubajje is reportedly spearheading. “It is sai...

Ujerumani Yaipa Tanzania Euro Milioni 176 Kwaajili Ya Maendeleo

Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki wa Ubalozi wa Ujerumani Dr. Ralph Mohs kulia.wakisaini msaada wa EURO 176 million kutoka serikali ya ujerumani kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini Tanzania.ulofanyika jana  katika ukumbi mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es salaam. Katibu mkuu wa Wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah kushoto.na Mkurugenzi wa ushirikiano na maendeleo wa Africa mashariki  wa Jumuiya ya Ulaya Dr Ralph Mohs kulia.wakikabidhiana nyaraka za mkataba wa msaada huo. Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria katika utiaji saini wa mkataba huo Katibu mkuu wa wizara ya fedha Bw. Ramadhani Khijjah akiwa kwenye picha ya pamoja na waakilishi wa Tanzania na Ujerumani .Inatoka kwa MJengwa.

Mahakama Kuu Singida Yatupilia Mbali Madai Yote 11 Dhidi Ya Tundu Lissu

  Na Elisante John Singida   MAHAKAMA kuu kanda ya Dodoma imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na wanachama wawili wa CCM, kupinga ushindi uliompa ubunge wa Jimbo la Singida,Tundu Lissu (CHADEMA). Akisoma hukumu hiyo, iliyochukua saa nne, Jaji Moses Mzuna wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, alisema wadai wameshindwa kuthibitisha hoja 11 walizomtuhumu Lissu, msimamizi wa uchaguzi na mwanasheria wa Serikali. Alisema, baada ya mashahidi 24 wa upande wa wadai kutoa ushahidi wao na wanne wa wadaiwa, ameona uchaguzi huo ulikuwa huru, haki na ulifuata taratibu zote, hivyo hauhitaji kutenguliwa. Baada ya hukumu na Jaji kutoka mahakamani ,Lissu alishindwa kujizuia na alianza kulia huku akitoa machozi ya furah na kuwapa wakati mgumu,jamaa na wafuasi wa CHADEMA, kumbembeleza. Baadhi ya wabunge wa CHADEMA waliokuwepo mahakamani kusikiliza hukumu hiyo ni Israel Natse-Karatu, Paulina Gekul na Rose Kamili wa viti maal...

Rais Banda amtimua waziri

Kiongozi mpya wa Malawi Joyce Banda amemtimua Waziri wake wa mashauri ya kigeni, Peter Mutharika, nduguye Rais aliyefariki akiwa afisini. Bw.Peter Mutharika alitazamiwa kama mrithi wa marehemu kakake katika uchaguzi wa mwaka 2014 wakati ikitazamiwa kua Rais aliyetoweka angestaafu. Mabadiliko haya ya baraza la mawaziri linatokea siku chache baada ya mazishi ya aliyekua Rais. Bibi Banda alikua ni makamu wa Rais kuanzia mwaka 2009 lakini baadaye akakosana na Rais na kujitokeza kua mkosoaji wake mkali. Bi Joyce Banda alilazimika kujiuzulu kutoka chama cha Democratic Progressive mwaka 2010 alipokaidi amri ya kumkubali Peter Mutharika awe mrithi wa rais. Kufuatia kifo cha Bw Mutharika tareh Aprili, kulikuepo na tetesi kua washirika wa waziri wa mashauri y...

Muungano

Tumelazimika kuelezea historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siyo tu kuonyesha mchakato ambao muungano huo umepitia, bali pia kuwakumbusha Watanzania kwamba muungano huo ulikuwa wa aina yake katika Bara la Afrika, kutokana na ukweli kwamba nchi nyingi zilizotaka kuungana zilishindwa, huku Senegal na Gambia zikisambaratika mara tu baada ya kuungana. Tayari tumeshuhudia nchi zilizokuwa kitu kimoja kama Sudan na Ethiopia zikisambaratika na kuzaa Sudan ya Kusini na Eritrea.

Historia ya Kiswahili & Kiingereza

  Buluu nyeusi : Nchi ambako Kiingereza ni lugha ya kwanza ya wananchi wengi; buluu nyeupe : nchi ambako Kiingereza ni lugha rasmi lakini si lugha ya kwanza ya watu wengi. Kiingereza kipo pia kati ya lugha rasmi za Umoja wa Ulaya. Maeneo penye wasemaji wa Kiswahili Historia ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki . Neno Swahili ni neno la asili ya Kiarabu Sahil lenye maana ya pwani; sawahil ’’as-sawāhilī’’ (السواحلي) ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni wa eneo la pwani. Lugha ya kwanza ni lugha ya mtu ambayo anaiongea kama lugha yake ya kwanza tangu utotoni. Pia lugha hiyo huitwa lugha ya mama (kwa Kiingereza "mother tongue") kwa vile watu wengi hujifunza lugha yao ya kwanza kutoka kwa mama mzazi.

Kijitonyama Lutheran Centre Kuzinduliwa

Jengo la kitega uchumi cha KKKT Kijitonyama litazinduliwa tar 29.4.2012. Ujenzi wa jengo hilo umegharimu shilingi bilioni 3.5 Picha kwa hisani ya MICHUZI